Sunday, July 26, 2015

True value Media: True value Media: MAGUFULI AANZA KUKUBALIKA NA MAJ...

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kulia akisalimiana na baadhi ya Maofisa wa majeshi ya Tanzania wakati wa kuazimisha sherehe za Mashujaa yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja dar es Salaam jana. Picha na Ismail Mang'ola.

True value Media: MAGUFULI AANZA KUKUBALIKA NA MAJESHI KABLA YA KULI...


MAGUFULI AANZA KUKUBALIKA NA MAJESHI KABLA YA KULITAWALA TAIFA







Mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (Jwtz), Samwel
Ndomba, akisalimiana na Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli wakati wa maadhimisho
ya sherehe za kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam jana. Picha Na Ismail Mang'ola

Wednesday, July 22, 2015

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

Msimamizi wa BSS akimbandika namba ya ushiriki mmoja wa washiriki wa tamasha hilo.

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

Mshiriki wa Bongo Star Seach, BSS, Qeen Latifa akiwa kwenye foleni ya kupewa namba ya ushiriki kwenye ufukwe wa COCO Beach leo jijini Dar es Salaam. Uandikishwaji wa wasanii umeanza leo ambapo tayari upande wa washiriki wa mikoani wamepatikana 18 na zoezi bado linaendelea. Picha na Ismail Mang'ola

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

Kamishina Kova akiwaonesha waandishi wa habari fedha zilizoibwa na majambazi hayo yaliyokamatwa kwenye tukio huko Mkuranga juzi.

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

kamishina wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleiman H. Kova akiwaonesha waandishi wa habari Bunduki zilizokamatwa na jeshi hilo wakati wa msako mkali uliofanyika jiji zima na kufanikiwa kuwakamata majambazi watano huku wengine wakiuawa kwenye mapambano walipokuwa wakijibizana na askari hao. Bunduki 17 zilikamatwa.