Mhe. Edward Ngoyai Lowasa akitoa sera zake mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania kiti cha Urais 2015 mara baada ya kuchukua fomu hiyo katika ofisi ya Tume ya Taifa jijini Dar es Salaam leo. Picha na Ismail Mang'ola.
Monday, August 10, 2015
True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...
Wafuasi wa Chama Cha Chadema, CUF, NCCR Mageuzi na Chama cha NLD, wakipunga mikono wakati wa salamu kutoka kwa Rais mtarajiwa wa Tanzania anayetarajiwa kuingia Ikulu mapema October 25 mwaka huu. Picha na Ismail Mang'ola.
True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha wananchi (cuf), Zanzibar, Maalim
Seif Sharif Hamad, Akizungumza na wananchi katika makao makuu ya chadema jijini
Dar es salaam jana. Picha naIsmail Mang'ola
True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...
Aliyekuwa Mbunge wa viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoani Mara, Ester Bulaya, aliyenyoosha mikono yake huku akiweka alama ya V, ambaye amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, akiwasalimia wananchi waliokuwa wamejipanga barabarani wakati mgombea urais wa Chadema kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA jijini Dar es Salaam leo. Picha na Ismail Mang'ola
Sunday, August 9, 2015
True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...
Rais Jakaya Kikwete kushoto, akifurahia jambo wakati Waziri wa ujenzi John Pombe Magufuli alipokuwa akionyesha mkoba uliokuwa na fomu ya kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM 2015 aliyokabidhiwa leo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC jijini Dar es Salaam. Picha na Ismail Mang'olaembe akinyanyua mkoba wake tarajiwa wa kumuingiza mjengo wa magogoni Oktober 25. Picha na Ismail Mang'ola
Subscribe to:
Posts (Atom)