Thursday, August 22, 2013

Mijini ubebaji huu ni lazima ingetumika Guta, lakini kwa wakazi hawa wa Halmashauri ya Kijiji cha Gallapo Wilayani Babati Vijijini Mkoa wa Manyara, wamejigeuza kuwa ndio Guta kutokana na ukali wa maisha na serikali kushindwa kuwapatia nyenzo za kubebea mizigo kama walivyonaswa na Kamera ya True Value Media.

True value Media: Chief Executive Officer C.E.O Ismail Mang'ola

True value Media:
Chief Executive Officer Bongo Junior Music & Film Entertainment.comn (C.E.O ) Ismail Juma Mang'ola
Bw. Ismail Mang'ola akizungumza na mmoja wa waandishi wa habari 'hayupo pichani' akitaka kujua namna kituo cha Bongo Junior Music & Film entertainment kitakavyoendesha shughuli zake. Kituo hiki kinatarajiwa kuzinduliwa mapema October 14 mwaka huu Chang'ombe Temeke katika ukumbi wa Nzui's Conner Pub uliopo Barabara ya Mandela karibu na Nduvini Auto Works.

True value Media: The name of trust

True value Media: The name of trust: Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo Otilia akiwa katika pozi ndani ya ukumbi wa Mango Garden Kinondoni wakati wa shoo ya bendi hiyo siku kazaa zilizopita, lakini kutokana na ukali wa pozi hili ndio maana 2meona kuna ulazima wa kuwaburudisha mashabiki wa muziki wa dansi hapa bongo. Picha Na True  Value Media.

Hii ndio Bongo Junior Music & Film Entertainment.com



Ahsante sana Bongo Juniro Music kwa mawazo yenu Big Up sana.
 

Thursday, June 13, 2013

The name of trust


MAAFA
Ni kwamara nyingine tena tunashuhudia kuanguka kwa ukuta wa ghorofa lililokuwa likijengwa maeneo ya Kinondo "B" jilani na Hospitali ya Kinondoni kwa Dr. Mvungi na kusababisha maafa makubwa ya uaribikaji wa vyumba vya nyumba ya jilani na maeneo hayo.{Picha na True Value Media}