Sunday, June 28, 2015

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

Mwandishi wa gazeti la Raia tanzania na raia Mwema Abdul Mkeyenge kulia akibadilishana wazo na mmoja wa viongozi wa Simba kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika juzi kwenye Gym ya Chang'ombe Veta Dar es Salaam. Picha na Ismail Mang'ola.

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

True value

Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi katika Gym iliyopo maeneo ya Veta chang'ombe jijini Dar es Salaam juzi..

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

Mhadhiri Chief Msopa akitoa huduma ya tiba kwa watu wenye maeadhi mbalimbali katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam wiki iliyopita. Picha na ismail Mang'ola

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

Wachuuzi wa samaki katika soko la feri jijini Dar es Salaam wakiuza samaki hao katika njia ya Mnada kufuatia kuadimika kwa samaki hao ambao wachuuzi hao walidai kuwa, bidhaa hiyo imeadimika kutokana na upepo mkali ambao umekuwa ukivuma nyakati za usiku. Picha na Ismail Mang'ola.

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

Diwani wa Kata ya Chang'ombe Noel Lucas Kipengule akibadilishana wazo na mmoja wa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Temeke wakati wa mkesha wa mbio za Mwenge kwenye uwanja wa Mwembe yanga Temeke. Picha na Ismail Mang'ola.

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

True value Media:  

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,
Abas Kandoro (kushoto) akibadilishana mawazo na mmoja wa watumishi wa umma
waliohudhuria hafla ya kutunuku nishani kwa viongozi hao Ikulu jijini Dar es
Salaam, ‘katikati’ ni Kamishina wa polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam DCP
Suleiman Kova. Picha na Ismail Mang'ola

True value Media: True value Media: True value Media: Hii ndio Bongo...

True value Media:  

Rais Jakaya Kikwete (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maofisa wa usalama, pamoja na rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi kulia kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ismail Mang'ola.

True value Media: True value Media: Hii ndio Bongo Junior Music

True value Media:    

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...: True value Media

Mmoja wa Maofisa wa Jeshi la Polisi, akichati kwenye Kilongalonga chake wakati wakimsubiri Mhe. Dk. Jakaya Kikwete kuingia ukumbini kwa ajili ya kuanza shughuli ya kuwatunuku watumishi wa umma waliofanya vizuri katika utendaji wa kazi tangu walipoajiriwa serikalini. Picha na Ismail Mang'ola.

True value Media: True value Media: True value Media: The name of tr...

True value Media: True value Media: True value Media: The name of tr...: True value Media:

Mkuu wa jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu, akifurahia jambo wakati walipokuwa wakiteta na maofisa wenzake wakati wa hafla ya kutunukiwa nishani viongozi wa Umma iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ismail Mang'ola

True value Media: True value Media: The name of trust

True value Media: True value Media: The name of trust: True value Media:

Baadhi ya maofisa wa usalama wakifuatilia matukio mbalimbali kabla ya Rais jakaya Kikwete kuanza kuwatunuku Nishani watumishi wa umma Ikulu dar es Salaam.

True value Media: The name of trust

True value Media: The name of trust

Rais Jakaya Kikwete akimtunuku Nishani ya utumishi bora Daraja la kwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abas Hussein Kandoro wakati wa hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam. Picha Na Ismail Mang'ola

Monday, June 1, 2015

True value Media: The name of trust

True value Media: The name of trust:  Cheki Maisha bora kwa kila Mtanzania, ni noma babake. unajua ni pande zipi hizi, Aaaah! Manyaraaaaa