Sunday, July 26, 2015

True value Media: YANGA HIYOOOOOO

Winga wa Yanga SC, Deus
Kaseke kushoto, akiwa chini baada ya kukwatuliwa na beki wa KMKM, Ibrahim
Khamis Khatib wakati wa mechi ya kombe la Kagame iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa leo. Picha na Ismail Mang'ola

True value Media: True value Media: KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI CC...

Kiungo wa Yanga SC, Haruna
Niyoonzima (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita kiungo wa KMKM, Mussa Said
Athumani leo wakati wa mechi yao katika kinyang'anyiro cha kombe la kagame, kipute kilichopigwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Picha Na Ismail Mang'ola

True value Media: KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MKOA WA DAR ES SALAAMU AKITETA JAMBO NA WAANDISHI WA HABARI NJE YA JENGO LA KARIMJEE

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam,
Abilahi Mihewa, kushoto, akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari kuhusu
uchaguzi wa wabunge wa viti Maalum kupitiaq Umoja wa Wanawake taifa, UWT
uchaguzi uliofanyika jana kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam jana.
Picha na Ismail Mang’ola

True value Media: UWT WAPIGA KURA KUWATAFUTA WABUNGE VITI MAALUM WANAWAKE

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Taifa (UWT) wa pili kutoka
kulia, akibadilishana mawazo na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad
Mussa Salaum, ‘katikati’ baada ya kutoka kupiga kura kuchagua wabunge wa viti
maalum katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Makamu
Mwenyekiti UWT Mkoa, Rukia Wandui, na kushoto ni Mwenyekiti wa umoja huo mkoa
wa Dar es Salaam, Janeth Masaburi. Picha na Ismail Mang’ola