Sunday, August 23, 2015

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

Mkurugenzi Msaidizi wa idara ya zana za kilimo-Wizara ya Kilimo,
Mhandisi Rajabu Mtunze (wapili kushoto), Mhandisi Kilimo daraja la pili, Idara
ya zana za Kilimo-Wizara ya Kilimo - Oswini Gepard (kushoto) na Katibu wa Klabu
ya michezo wizara ya Kilimo, Idara ya Utawala-Wizara ya Kilimo - Abdallah
Mbonde (kulia) wakifurahia vifaa vya michezo kutoka NMB pamoja na Meneja
Mahusiano wa Biashara za Kilimo wa NMB- Hamis Mnoni. Benki ya NMB imedhamini
vifaa vya michezo kwa watumishi wa umma vyenye thamani ya shilingi milioni 10/-
kwa ajili ya mashindano ya Shimiwi.Picha na Ismail Mang'ola

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

Meneja Mwandamizi wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB - Susan Shuma
(kulia) akikabidhi jezi kwa Mwenyekiti wa Klabu ya Michezo-Wizara ya Utumishi
wa Umma - Seushi Mburi kwaajili ya mashindano yanayowakutanisha
wafanyakazi wa serikali na taasisi zake nchini kote ambapo kwa mwaka huu
yanafanyika mkoani Morogoro. Wengine ni Makamu Mwenyekiti wa klabu za michezo
wa wizara– Bwana Festus Mbwilo. Benki ya NMB imedhamini vifaa vya michezo kwa
watumishi wa umma vyenye thamani ya shilingi milioni 10 kwa ajili ya
mashindano ya Shimiwi.Picha na Ismail Mang'ola

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...

Wakazi wa eneo la Ilala eneo la Karume (Machinga Complex)
wakimbeba mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda baada ya kugongwa na gari
lenye namba za usajili T-519 CLB aiana ya Noah katika makutano ya barabara ya
Kawawa na Lindi jijini Dar es Salaam jana. Picha na Ismail Mang’ola

Wednesday, August 19, 2015

True value Media:UZINDUZI WA HUDUMA MPYA YA BIMA YA MAGARI, PIKIPIKI NA BAJAJ

Ofisa Mtendaji Mkuu wa NIKO Insurance, Mannaseh Kawoloka (katikati)
akizungumza jambo katika uzinduzi wa huduma mpya ya bima ya magari, pikipiki na
bajaj inayoendeshwa na Taasisi ya Bayport Financial Services. Huduma hiyo
imezinduliwa jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mratibu wa bima hiyo, Ruth
Buran na Meneja Oparesheni wa Bayport, Charles Mgeta. 

Na Ismail Mang'ola
Dar es Salaam

TAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya
mikopo, imezindua huduma mpya ya bima ya magari, pikipiki na bajaj, ikiwa na
lengo la kurahisisha masuala ya usafiri kwa wateja wao ili kukwamua zaidi.

Kuanzishwa kwa huduma hiyo mpya kumetajwa kuwa kutachangia kwa kiasi kikubwa
wamiliki wa vyombo hivyo vya usafiri waliokuwa wakishindwa kulipa bima kwa
wakati na wakati mwingine mteja kupata ajali hali ya kuwa hana huduma ya bima
inayoweza kumlinda.

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mratibu wa Bima hiyo kutoka Bayport
Financial Services, Ruth Bura, alisema huduma yao wanayoshirikiana na NIKO
Insurance ina lengo kubwa la kumrudisha mteja wao (mkata bima), katika hali
aliyokuwa nayo kabla ya kupata ajali hiyo.

Alisema mara kadhaa baadhi ya Watanzania wamekuwa wakikimbizana na askari wa
usalama barabarani kwa sababu hawana bima kwenye vyombo vyao vya usafiri, ila
kwa kupitia huduma yao mpya, sasa kila mtu anaweza kujiunga na bima kwa njia
rahisi, wakiamini kuwa ni sehemu yao ya kuhakikisha wateja wao wanakuwa kwenye
usalama ili watimize wajibu wao kufanya kazi na kukuza uchumi wao na wa
Tanzania kwa ujumla.

“Ili mtu aweze kujiunga na huduma yetu ya Bima kutoka Bayport Financial
Services, kwanza anatakiwa kujaza fomu yetu ya mkopo na ile fomu ya udhibitisho
wa bima, bila kusahau nyaraka za umiliki wa gari lake ili tujiridhishe na
umiliki wake.

“Baada ya hapo, gari lake litapigwa picha tano kila pembe, ikiwa ni nyuma na
mbele na kwenye injini na tukimaliza hatua hiyo, mteja wetu atapatiwa mkataba
wa bima pamoja na ‘sticker’ kuonyesha kuwa yupo kwenye bima, huku huduma hiyo
ikiwa ni rahisi kwa sababu gharama za bima kwa mwaka ni kuanzia Sh 354,000
pamoja na VAT,” Alisema.

Naye Meneja Uendelezaji wa Biashara wa NIKO Insurance, Jabir Kigoda, alisema
kuwa huduma hiyo ni nzuri na rahisi inayoweza kuwanufaisha wateja na Watanzania
wote, hivyo wanapaswa kuichangamkia ili kuwaweka katika usalama wao na wa
vyombo vyao vya usafiri.

“NIKO tunajisikia faraja kubwa kushirikiana na wenzetu Bayport Financial 
Services kutoa huduma bora na kiwango cha juu, hususan kwa kupitia huduma hii
mpya ya bima ya magari, tukiamini kuwa itawafanya Watanzania wote watembee
kifua mbele, maana ile presha ya kukimbiana na watu wa usalama barabarani
itakuwa imepatiwa ufumbuzi,” alisema Kigoda.

Bayport Financial Services ni taasisi ya kifedha inayotoa huduma mbalimbali za
mikopo ya fedha, mikopo ya bidhaa, bila kusahau mradi wa mikopo ya viwanja vya
Vikuruti unaoendelea na kuwafanya Watanzania watembee kifua mbele, huku taasisi
hiyo ikifanikiwa kuwa na matawi 80 Tanzania Bara, hivyo kutoa huduma bora na
kwa njia rahisi kwa kupitia matawi yao au mtandao wao

True value Media: Video Production

Sunday, August 16, 2015

Simba yaipiga URA ya Uganda mabao 2-1 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wanachama
na mashabiki wa Simba, wakiwa kwenye Uwanja wa Taifa, kungalia mchezo
wa kirafiki wa Kimataifa, baina ya timu hiyo, na URA ya Uganda, Dar es
Salaam leo. (Picha zote na Ismail Mang'ola-www.truevaluemedia.blogspot.com)
  
Ubao wa matokeo ukisomeka Simba 0 Vs URA 0, kabla ya mchezo kati ya timu hizo leo, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Wachezaji wa timu za Simba ya Tanzania na URA ya Uganda wakiingia uwanjani tayari kuanza mpambano huo.

Wachezaji
wa timu za Simba ya Tanzania na URA ya Uganda wakiingia uwanjani kwa
ajili ya mchezo wa kirafiki wa Kimataifa kati yao.

Wachezaji wa timu za Simba ya Tanzania na URA ya Uganda wakisalimiana kabla ya kuanza mchezo huo wa kirafiki wa Kimataifa. 

Wachezaji wa Simba wakipiga picha ya kumbukumbu ya mchezo huo. 

Wachezaji wa URA ya Uganda, wakipiga picha ya kumbukumbu ya mchezo huo.  

Benchi la ufundi na wachezaji wa akiba wa URA ya Uganda, likiongozwa na Kocha Moses Basena (kulia), wakati wa mchezo huo.

Benchi la ufundi na wachezaji wa akiba wa Simba ya Tanzania, likiongozwa na Kocha Dylan Kerr (kushoto) wakati wa mchezo huo.

Mchezaji
Kelvin Ndayisenga wa Simba, akipiga mpira uliombabatiza Kaso

Mchezaji
Kelvin Ndayisenga wa Simba, akishangilia, baada ya kuipatia timu yake
hiyo, bao la kwanza dhidi ya URA ya Uganda katika mchezo huo wa kirafiki
wa Kimataifa, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. 

Kelvin
Ndayisenga, akikumbatiana na wachezaji wenzake wa Simba, wakati
wakishangilia bao la kwanza aliloifungia timu yake hiyo, dhidi ya URA ya
Uganda katika mchezo huo wa kirafiki wa Kimataifa.

Wachezaji wa Simba, wakishangilia bao hilo, lililofungwa Kelvin. Katika mchezo huo, Simba ilishinda mabao 2-1. 

Ubao wa matangazo ukionesha Simba bao 1 na URA ya Uganda 0.

Ubao wa matangazo ukionesha Simba bao 1 na URA ya Uganda 1, baada ya URA kufanikiwa kusawazisha bao hilo.

Mchezaji
Kagimu Sadiq wa URA ya Uganda, akimkwatua Samih Ali Nuhu wa Simba,
wakati wa mchezo huo, wa kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa Uwanja wa
Taifa, Dar es Salaam leo. 

Awadh Juma wa Simba akiruka na mlinda mlango wa URA, Bwete Brian kuuwahi mpira uliokuwa ukiwaniwa na Massa Simeon (17) wa URA.

Kocha
wa Simba, Dylan Kerr, akizungumza na wachezaji wake wakati wa mapumziko
kabla ya kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. 

Wanachama na mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo huo.

Massa Simeon wa URA, akikimbia na mpira huku akifuatwa na Kelvin Ndayisenga (nyuma) wa Simba.

Massa Simeon wa URA, akimtoka Kelvin Ndayisenga wa Simba.

Mussa Hassan Mgosi wa Simba akiuzuiya mpira huku akifuatwa na wachezaji wa URA. 

Mussa Hassan Mgosi wa Simba akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Kagimu Sadiq wa URA. 

Hassan Kessy wa Simba kijaribu kumpiga chenga Sekito Sam (13) wa URA. 

Ibrahim
Ajib (kushoto) na Juuko Murshad wote wa Simba wakishangilia bao la pili
lililofungwa na Juuko na hivyo Simba kuibuka na ushindi wa mabao 2-1
katika mchezo huo.

Ibrahim Ajib (kushoto) na Juuko Murshid wote wa Simba wakishangilia bao hilo la pili lililofungwa na Juuko Murshid

Wachezaji wa Simba wakifurahia bao hilo. 

Hassan
Is-haka akimkumbatia kwa furaha Juuko Murshid baada ya Murshad
kuifungia timu yao ya Simba bao la pili katika mchezo huo, dhidi ya URA
ya Uganda iliyopata bao 1.

 Ubao wa matangazo ukionesha Simba 2 na URA 1.

Mussa Hassan Mgosi wa Simba akipambana na wachezaji wa URA.

Mussa Hassan Mgosi wa Simba akiwatoka wachezaji hao wa URA.

Hadi mwisho wa mchezo huo, ubao wa matangazo ulikuwa ukionesha Simba 2 na URA 1.

Wizara ya Ujenzi yamuaga Rais Kikwete viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika
picha ya pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
viongozi mbalimbali wa bodi na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi
katika Viwanja wa Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, mara baada ya
Wizara kumuaga na kumshukuru kwa mchango wake katika Sekta ya Ujenzi
nchini. (Picha zote na mpigapicha wetu)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete  akiwa na Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali
wakiimba wimbo wa Taifa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es
Salaam kabla ya tukio la kuagwa Mheshimiwa Rais na Viongozi wa Wizara ya
Ujenzi.  

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete  akiwa na Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali
wakiimba wimbo wa Taifa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es
Salaam, kabla ya tukio la kuagwa Mheshimiwa Rais na Viongozi wa Wizara
ya Ujenzi.

Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akitoa hotuba katika viwanja vya
Mnazi Mmoja kabla ya kumkaribisha Mheshimiwa Rais Kikwete.
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimiana na wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi.  

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akipiga makofi
pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya
kumalizika kwa wimbo wa Taifa. 

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiwasili katika viwanja hivyo vya Mnazi Mmoja.

Rais Kikwete katika hafla ya Kongamano la Pili la Diaspora Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin
wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa
kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto
mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC.
Rais
Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika  hoteli ya Serena
jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano
la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa
Bodi ya AICC, Bw. Matheu Lamolle Mtafiti wa Massoko wa Taasisi ya
International Trade Centre (ITC) ya Uswisi ambao ndio waliokuwa
wadhamini wakuu wa kongamano hilo, Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu  Zanzibar (Utawala Bora)  Mhe Dk Mwinyihaji
Makame, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania DMV Marekani  Bw. Iddi
Sandaly, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Balozi Liberata Mulamula na Bi Mariam Mungula wa Diapora
London.
MC wa hafla hiyo ambaye ni Mratibu wa Dawati la Diaspora katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bi Suzana Mzee akiwa kazini
Wadau
wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya
Kongamano la pili la Diaspora.

Serena jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya
Kongamano la pili la Diaspora.
Wadau
wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya
Kongamano la pili la Diaspora.
Wadau
wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya
Kongamano la pili la Diaspora.
Wana Diaspora wa London na Maputo.

Wadau wa Disapora kutoka kampuni ya simu. 
Wadau
wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya
Kongamano la pili la Diaspora.
Mwanahabari wa kamati ya Diaspora na blogger maarufu nchini Maggid Mjengwa na mdau.
Wadau
wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya
Kongamano la pili la Diaspora.
Wadau
wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya
Kongamano la pili la Diaspora.
Mdau wa Diaspora akichukua taswira ya hafla
Rais
Kikwete akihutubia wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania
 katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo
wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Wadau
wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  wakimsikiliza Rais
Kikwete katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia
leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake.
Rais Kikwete akisisitiza umuhimu wa wana Diaspora kuwekeza nyumbani.
Wadau
wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya
Kongamano la pili la Diaspora.
Wadau
wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya
Kongamano la pili la Diaspora.
Wadau
wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya
Kongamano la pili la Diaspora.
Wadau
wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya
Kongamano la pili la Diaspora.
Rais Kikwete akipongezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu  Zanzibar (Utawala Bora)  Mhe Dk Mwinyihaji Makame, baada ya hotuba
Rais Kikwete akitoa hati kwamwakilishi wa kampuni ya HUWAWEI ambao ni  wadhamini wa hafla hiyo.
Hati kwa mdau mdhamini.
Hati ya udhamini kwa PPF inayopokewa na Bi Lulu.
Hati ya udhamini kwa NIC.
Hati kwa mdau.
Hati kwa mdhamini.
Hati kwa mdhamini.
Hati kwa Mamlaka ya Bandari.
Hati kwa Shirika la Nyumba.
Hati kwa mdhamini.
Hati kwa Azania Bank.
Hati kwa mdhamini.
Hati kwa mdhamini toka Coca Cola.
Hati kwa mdhamini.
Hati kwa mdhamini toka Clouds FM.
Hati kwa mdhamini.
Hati kwa mdhamini Mkuu.
Hati kwa mdhamini mkuu.
Hati na pongezi kwa mdhamini mkuu.
Salamu toka kwa mdau kijana toka China.
Peter Msechu na bendi yake jukwaani.
Hafla ilinogeshwa na onesho la mavazi la Kiafrika toka kwa Fabak Fashions.
Wanamitindo wa Fabak Fashions.
Picha ya pamoja na Asia Idarous-Khamsin na wanamitindo.
Picha ya pamoja na Asia Idarous-Khamsin na wanamitindo wake.
Rais Kikwete akapata picha za pamoja na wadau.

Rais Kikwete alipita meza moja moja kusalimia wadau wa Diaspora.
Rais Kikwete alipita meza moja moja kusalimia wadau wa Diaspora.