Timu
ya Simba SC leo imefanikiwa kuibuka na ushinda wa goli 1-0 kwenye
mchezowake wa kirafiki dhidi ya timu ya SC Villa ya Uganda mchezo
uliokuwa maalumu kwa ajili ya kusherekea siku ya Simba Day ambayo
huadhimishwa Agosti 8 kila mwaka.

Goli
la Simba limefungwa na Awadh Juma dakika za lala salama baada ya
kutokea piga nikupige langoni mwa Villa ‘Jogoo’ hatimaye mpira kumkuta
Awadh aliyeachia huti kali na kuipa timun yake ushindi wa jioni

Awali
washambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu, Mussa Hassan Mgosi na Hamisi
Kiiza walipoteza nafasi nyingi za kufunga kutokana na nafasi nyingi
zilizotengenezwa.

Hata hivyo kikosi cha Villa
kiliruhusu goli hilo baada ya kucheza pungufu kwa muda mrefu kuokana na
mchezaji wao Yeberi Waibi kuoneshwa kadi nyekundu mwishoni mwa kipindi
cha kwanza kwa kumchezea rafu Ibrahim Ajibu wa Simba hivyo kukifanya
kikosi chake kicheze kikiwa pungufu kwa muda wote uliobaki.

Kipindi
cha kwanza kilimalizika bila timu hizo kufungana, kipindi cha pili timu
zote zilifanya mabadiliko hatimaye mabadiliko yakazaa matunda kwa
upande wa Simba bada ya Awadh kuifungia goli timu yake akitokea kwenye
benchi.

Hiyo ni mechi ya sita ya kirafiki
(zote imeshinda) kwa upande upande wa Simba ambapo mechi nyingine tano
ilicheza wakati ipo visiwani Zanzibar ilipokuwa imeweka kambi kwa
maandalizi ya msimu ujao.

No comments:
Post a Comment