Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Haruna Lipumba (wa kwanza kulia) akiwa pamoja na washitakiwa wenzake katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana, wakati walipofika kusikiliza mashitaka yao yanayowakabili kuhusu kufanya maandamo bila ya kuwa na kibali. Picha na C.E.D Truevaluemedia.
No comments:
Post a Comment