Sehemu ya Katoni za Viroba vilivyokutwa katika kiwanda cha nyati sprit leo jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Kanda ya Magharibi wa Mamlaka ya Dawa na Chakula (TFDA ),
Emmanuel Alphonce akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya
kufanya operesheni ya viroba katika kiwanda cha nyati sprit leo
Vingunguti jijini Dar es Salaam.

Vijana wakipanga Viroba katika boksi walipokutwa na timu ya
operesheni viroba iliyofika katika kiwanda cha Nyati Spirit leo jijini
Dar es Salaam.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.

Mafisa wa serikali kutokavitengo mbalimbali wakikagua nyaraka mbalimbali za kiwanda cha Nyati
Sprit kutokana na operesheni tokomeza viroba inayoendelea nchi nzima.

Na Ismail Mang'ola
Ikiwa ni siku ya kwanza tangu kutangazwa kwa operesheni tokomeza viroba, utekelezaji wa
operesheni hiyo ya kuondoa Viroba umeanza leo baada ya Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba
alipotangaza marufuku hiyo Februari 20 juu ya vileo vilivyo katika
vifungashio hivyoviondoke katika mzunguko wa biashara na watengenezaji
wahamie katika mfumo wa chupa kwa kuanzia milimita 250.

Operesheni
ya kukamata viroba imeanza leo jijini Dar es Salaam ikisimamiwa na
Ofisi ya Makamu wa Rais Katika Kiwanda cha Kampun ya nyati spirit
kilichopo Vingunguti ambapo katoni za viroba 7067 aina ya nyati
zimekutwa katika kiwanda hicho.

Akizungumza katika
operesheni Meneja wa Kanda ya Magharibi wa Mamlaka ya Dawa na Chakula
(TFDA ), Emmanuel Alphonce amesema operesheni imeanzia jiji la Dar es
Salaam na kesho itaendelea nchi nzima chini ya Kamati za Ulinzi na
Usalama za Wilaya na Mikoa

Mkurugenzi wa kiwanda
hicho Rupa Suchik amesema hatatengeneza tena viroba ikiwa ni agizo la
serikali na vilivyopo watateketeza . Amesema kuanzia jana
ameshapunguza wafanyakazi 150 kutoka 300 kutokana na agizo hilo na hao
waliosalia wataingia katika mfumo wa uzalishaji vileo katika mfumo wa
Chupa.

No comments:
Post a Comment