Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati,
Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (kulia) akipokea Tuzo kutoka kwa Meneja
Miradi wa Kampuni ya Umeme ya Ensol, Prosper Magali.

Meneja
Miradi wa Kampuni ya Umeme ya Ensol, Prosper Magali (kushoto) akipokea
Tuzo ya Uwezeshaji wa Mazingira Bora ya Upatikanaji wa Umeme Vijijini
kwa Nchi zinazoendelea kwa niaba ya Serikali kutoka kwa Mwenyekiti wa
Sera ya Mtandao wa Kimataifa wa Nishati Mbadala (REN21) yenye makao
makuu yake nchini Ufaransa, Profesa Arthouros Zervos.

Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (katikati) katika picha ya pamoja na
watendaji wa Wizara na Taasisi zake na wawakilishi wa Kampuni ya Umeme
ya Ensol baada ya kukabidhiwa Tuzo.

Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (wa nne kutoka kulia) katika picha ya
pamoja na watendaji wa Wizara na Taasisi zake na wawakilishi wa Kampuni
ya Umeme ya Ensol baada ya kukabidhiwa Tuzo.

Miradi wa Kampuni ya Umeme ya Ensol, Prosper Magali pamoja na washiriki
kutoka nchi mbalimbali wakionesha Tuzo walizopokea kutoka kwenye
Taasisi ya Kimataifa ya Alliance for Rural Electrification katika hafla ya utoaji tuzo iliyofanyika Lisbon, Ureno

Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Ensol, Hamis Mikate akizungumza wakati wa
makabidhiano ya Tuzo. Kulia ni Meneja Miradi wa kampuni hiyo, Prosper
Magali na Afisa wa Ensol, Magdalena Ally.

Watendaji
kutoka Wizara ya Nishati na Madini waliohudhuria tukio la upokeaji wa
Tuzo. Wa kwanza kushoto ni Kaimu Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya
Petroli, Mhandisi Innocent Luoga.

Na Ismail Mang'ola
Jitihada
za Wizara ya Nishati na Madini za kuhakikisha umeme unafika na kusambaa
maeneo ya vijijini zimetambuliwa kimataifa hali iliyopelekea Serikali
kupokea Tuzo ya Uwezeshaji wa Mazingira Bora ya Upatikanaji wa Umeme
Vijijini kwa Nchi zinazoendelea.

Serikali imetunukiwa Tuzo hiyo mwezi Machi, 22 na Taasisi ya Kimataifa ya Alliance for Rural Electrificationyenye
Makao Makuu yake nchini Ubelgiji ambayo ilipokelewa na Meneja Miradi wa
Kampuni ya Umeme ya Ensol, Prosper Magali kwa niaba ya Serikali katika
hafla ya utoaji tuzo iliyofanyika Lisbon, Ureno. Magali pia ni Makamu
Mwenyekiti wa Taasisi ya Nishati Jadidifu (TAREA).

Akikabidhi
Tuzo hiyo Jijini Dar es Salaam, kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana
Pallangyo; Magali alisema Tuzo hiyo imetolewa kwa kutambua mchango wa
Serikali ya Tanzania wa kufikisha huduma ya umeme maeneo ya vijijini
pamoja na uwezeshaji wa mazingira bora na rafiki kwa wawekezaji
wanaosambaza umeme katika maeneo ya vijijini.

“Kwa
mwaka huu, Serikali yetu imetambuliwa kwa kufikisha umeme vijijini na
juhudi zake za kuhakikisha kunakuwa na mzingira rafiki kwa watoaji na
wasambazaji wa huduma ya umeme vijijini,” alisema Magali.

Kwa
upande wake Dkt.Mhandisi Pallangyo aliipongeza kampuni ya Ensol kwa
kupokea tuzo kwa niaba ya Serikali na kuahidi kuendeleza ushirikiano na
kampuni zote zinazojihusisha na usambazaji wa umeme maeneo ya vijijini.

Alisema
Serikali itaendelea kuandaa mazingira rafiki kwa wawekezaji ili
kutimiza azma ya kuhakikisha vijiji vyote vinafikiwa na huduma ya
Nishati ya Umeme.

Aidha,
Dkt. Mhandisi Pallangyo alizitaka kampuni nyingine zinazoshughulika na
uzalishaji na usambazaji wa umeme vijijini kujiunga na Taasisi za
Kimataifa ikiwemo ya Alliance for Rural Electrification ili kunufaika na
fursa zinazopatikana kwenye Taasisi hizo.

Makabidhiano
hayo yalishuhudiwa na watendaji wa Wizara na Taasisi zake wakiongozwa
na Kaimu Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli, Mhandisi Innocent
Luoga na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Ensol, Hamis Mikate.

No comments:
Post a Comment