Tuesday, June 6, 2017

True value Media: CCM WAITAKA SERIKALI KUCHUKUA HATUA DHIDI MAUAJI M...


VIJANA WATOA SIRI KUFICHUA MITANDAO YA UHALIFU NCHINI


TAA 2
Na Ismail Mang'ola


WANAOLIMA KWENYE MAENEO OEVU WAONDOKE- RC MASENZA


Mhifadhi
mwandamizi wa hifadhi ya Taifa ya Ruaha Moronda Moronda  akitangaza
 washindi wa  tuzo  za uhifadhi  mazingira za TANAPA


MAFUNZO YA MFUMO WA UHASIBU NA UTOAJI TAARIFA ZA FEDHA KWA NGAZI YA KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA.


Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga, Albert Msovela, amefungua mafunzo ya
mfumo mpya wa uhasibu na utoaji taarifa za fedha kwa ngazi ya kituo cha
kutolea huduma ‘Facility Financial Accounting and Reporting System –
FFARS) kupitia mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma ‘ Public
Sector Systems Strengthening – ...
You may view the latest post at
http://www.bmghabari.com/mafunzo-ya-mfumo-wa-uhasibu-na-utoaji-taarifa-za-fedha-kwa-ngazi-ya-kituo-cha-kutolea-huduma.


Waziri Mkuu Azindua Zoezi La Usambazaji Wa Vifaa Vya Maabara kwa Shule Za Sekondari Nchini.


unnamed

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 42, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 06, 2017.


unnamed
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson
akiongoza kikao cha 42 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Juni 06, 2017.

UWANJA WA NDEGE WA SONGWE WADHIBITI UGONJWA WA EBOLA

unnamed
Na Ismail Mang'ola

OFISI
YA TAIFA YA TAKWIMU YAENDESHA MAFUNZO KWA AJILI YA UTAFITI WA MAPATO NA
MATUMIZI YA KAYA BINAFSI TANZANIA BARA WA MWAKA 2017/18


unnamed

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA ANNA MGHWIRA KUWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO


unnamed

KAULIMBIU MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA 20117

Wizara
ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana
na asasi za kiraia itaungana na mataifa mengine barani Afrika
kusherehekea sikuu ya mtoto wa Afrika kwa Mwaka 2017 Kitaifa mkoani
Dodoma tarehe 16 Juni mwaka huu.

SIMBA SC UWANJANI LEO MICHUANO YA SPORTPESA!




KILIMANJARO DIALOGUE ISNTITUTE YAENDESHA MDAHALO WA MAZINGIRA MANISPAA YA ILALA




Afisa
Mazingira wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, Bi.Esther Masomhe,
(kulia), akizungumza jambo wakati wa mazungumzo ya meza ya duara kuhusu
mazingira kwenye Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam Juni 5, 2017,
ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya mazingira duniani. Kushoto ni
Mwenyekiti wa Taasisi ya Kilimanjaro Dialogue Institute iliyoandaa
majadiliano hayo, Bw. Habib Miradji.


KAMPUNI YA ACACIA YACHANGIA KATIKA HARAKATI ZA GGM KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA MAPAMBANO YA VITA DHIDI YA UKIMWI.


Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,Dkt Tulia Ackson akitia saini katika kitabu cha
wageni mara baada ya kuwasili katika lango la kupandia mlima
Kilimanjaro,lango la Machame kwa ajili ya kutoa Baraka kwa washiriki wa
changamoto ya kupanda mlima kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya
watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi zoezi linaloratibiwa na Kampuni ya
Geita Gold Mining (GGM).


VIDEO:TEMBO 110 WAVAMIA MASHAMBA, WAUA MWANAKIJIJI MMOJA TUNDURU


Tembo 110 wamevamia mashamba ya wananchi na kufanya uharibifu wa mazao
katika kata za Mbati,Kalulu,Namwinyu na Jakika wilaya ya Tunduru mkoani
Ruvuma na kuua mk azi mmoja wa Mbwembwele aliyejulikana kwa jina moja la
Kalengo mwenye umri wa miaka 70, Taarifa zaidi hii hapa video yake.
 


  
RC TABORA TOENI ELIMU SAHIHI YA MATUMIZI YA VYANDARUA


unnamed


UPDATES MSIBA WA MAREHEMU BALOZI CISCO MTIRO, MAZISHI KUFANYIKA JUMATANO


 
Mkuu
wa Itifaki mstaafu Balozi Cisco Mtiro (pichani) ambaye amefariki dunia
leo asubuhi  katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam alikokuwa
amelazwa kwa matibabu, anatarajiwa kuzikwa siku ya JUMATANO, k
wa mujibu wa msemaji wa familia, Bw. Shaaban Kessy Mtambo
Jioni
hii Bw. Mtambo ameiambia Globu ya Jamii kwamba mazishi ya
mwanadiplomasia huyo yamepangwa kufanyika siku ya JUMATANO saa saba
adhuhuri katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam.


BULEMBO ASABABISHA MAAFA CHADEMA NGARA, 71 WATIMKIA CCM LEO



SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUPITIA UPYA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA MISAMAHA YA KODI


unnamed
Na Ismail Mang'ola


PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNI 6,2017





                     
Uchukuzi Yaadhimisha Siku Ya Mazingira NIT


unnamed
 Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi),
Dk. Leonard Chamuriho aliyekuwa Mgeni rasmi akiwahutubia wafanyakazi wa
taasisi zilizopo chini ya sekta hiyo, kabla ya kuanza kwa zoezi la
kufanya usafi wa mazingira kwenye Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT)
na Soko la Mabibo, ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani
iliyoadhimishwa jana.

TIOTE AANGUKA GHAFLA NA KUFARIKI DUNIA AKIWA KWENYE MAZOEZI NI KIUNGO WA IVORY COAST


41210C3900000578-0-image-m-125_1496678363265
Kiungo wa zamani wa Newcastle, Cheick Tiote ameanguka ghafla na kupoteza maisha akiwa mazoezini.

AZAM FC YAIZIDI KETE YANGA,YAMNASA MSHABULIAJI HATARI WA TOTO AFRICAN


waziri junior
Baada ya ukimya, Azam FC imeanza rasmi usajili kuimarisha kikosi chake.
Klabu hiyo ya Mbande, imemnasa mshambuliaji anayekuja kwa kasi hivi sasa nchini, Wazir Junior.
Junior
aliyependekezwa na Kocha Mkuu Aristica Cioaba, anakuwa mchezaji wa
kwanza kusajiliwa na timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao 2017-18, ambapo
alikuwa straika kinara wa Toto African ya Mwanza msimu uliopita, akiwa
mfungaji wao bora kwa mabao sita aliyofunga.


MKURUGENZI WA MJI WA GEITA ATANGAZA KIAMA KWA WAFUGAJI WAOINGIZA MIFUGO MJINI NA KWENYE VYANZO VYA MAJI


Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Mji wa Geita,Mhandisi Modest Aporinal akizungumza
kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambapo Kiwilaya
yamefanyika Kwenye Halmashauri ya Mji huo.

YANGA YATINGA NUSU FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP,YAIGONGA TUSKER YA KENYA


unnamed
Mshambuliaji
wa Yanga Chipukizi, Said Mussa, akijipinda kupiga shuti katikati ya
mabeki wa Tusker, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup,
katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 

YANGA YATINGA NUSU FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP,YAIGONGA TUSKER YA KENYA


unnamed
Mshambuliaji
wa Yanga Chipukizi, Said Mussa, akijipinda kupiga shuti katikati ya
mabeki wa Tusker, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup,
katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 

BENKI YA NMB YAIKABIDHI SERIKALI GAWIWO LA SHILINGI BILIONI 16.5


nm1
Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Philip Isdor Mpango (Mb)  (kushoto) akipeana
mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB , Ineke Bussemaker (kulia)
baada ya kupokea mfano wa hundi  wa gawiwo la  shilingi bilioni 16.5
ambazo Serikali kama mwanahisa  imepata katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa
wanahisa wa Benki hiyo uliofanyika Jijini Dar es Salaam.

SERIKALI YAIPATIA TADB RUZUKU YA SHILINGI BILIONI 209.5 KUENDELEZA SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO


td1

Wafanyakazi wa TBL Group walivyoadhimisha Siku ya Mazingira Duniani

WASHIRIKI WAKISAFISHA MAZINGIRA NA KUPANDA MITI
 
Katika
kuendeleza mkakati wake wa kutunza mazingira kampuni ya TBL Group na
wafanyakazi wake kutoka viwanda vyake vilivyopo katika mikoa ya Dar es
Salaam,Mwanza,Kilimanjaro,Arusha,na Mbeya wameshirikiana na serikali  na wadau wengine kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani .


 

Wafanyakazi
wa TBL Group walishiriki katika kupanda miti,kusafisha maeneo ya mitaa
mbalimbali,kutoa misaada ya vifaa vya kufanyia usafi ,kusafisha maeneo
ya shule na kupata semina za mazingira kutoka wataalamu wa mazingira
ikiwemo kuangalia video kuhusiana na umuhimu wa utunzaji wa mazingira.
zing1
Meneja
wa kiwanda cha TBL mkoa wa Arusha,Joseph Mwaikasu akitoa salamu zake
wakati wa maadhimisho ya siku ya mazingira iliyofanyika jana.
zing2
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha TBL mkoa wa Arusha wakipanda miti katika bustani ya Themi Living Garden iliyopo jijini Arusha
zing3
Wafanyakazi wakielekea kwa TBL Arusha wakielekea katika bustani ya Themi.
zing4
Meneja
wa Kiwanda cha Bia (TBL) mkoani Mwanza, Marietha Mazula akitoa elimu
kwa wafanyakazi wa kiwanda hicho kuhusu mazingira baada ya kutoka
kupanda miche 300 ya miti katika gereza la Butimba
zing5
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Mwanza katika picha ya pamoja baada ya zoezi la kupanda miti
zing6
Wafanyakazi wa Kiwanda cha TBL Ilala nao hawakubaki nyuma katika kuadhimisha siku ya Mazingira
zing7
Wafanyakazi wa Kiwanda cha TDL nao pia walishiriki katika usafi mitaani
zing8zing9zing10
Wafanyakazi wa Kiwanda cha TDL nao pia walishiriki katika usafi mitaani
zing11zing12zing13zing14

Halim Mdee na Ester Bulaya wakumbana na adhabu ya kutohudhuria vikao vya Bungeni mpaka mwakani


BULA
Halima
Mdee na Esther Bulaya wamehukumiwa kutohudhuria vikao vyote vya bunge
linaloendelea mpaka mkutano ujao wa Bunge la Bajeti ya 2018/19.
 

No comments:

Post a Comment