YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 46, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA
Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha 45 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 13, 2017.

Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angeline Kairuki akijibu maswali mbalimbali
ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini
Dodoma Juni 13, 2017.

Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na
Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika
kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 13, 2017.

Naibu Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani akifuatilia jambo na Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dk Suzan Kolimba hoja
mbalimbali za wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 13, 2017.

Naibu Waziri Ofisi ya
Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu Sera ,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista
Mhagama akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama Mhe.Nape Nnauye katika kikao
cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 13, 2017.

Mbunge wa Viti maalum (CCM) Mhe.Fatma Toufiq akiuliza swali
katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni
13, 2017.

Mbunge wa Viti maalum (CCM)
Mhe.Ritta Kabati akiuliza swali katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa
Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 13, 2017.

Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akiwa katika picha ya
pamoja na wanakwaya wa Furahini K.K.K.T Ilongero-Mijuhu Singida Bungeni
Mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia
Wambura akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kwaya ya Furahini K.K.K.T
Ilongero-Mujuhu Singida walipokuja kumtembelea Bungeni mjini Dodoma.

Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.
No comments:
Post a Comment