JANG’OMBE BOYS WAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP, YAPIGWA 2-0 NA GOR MAHIA
Mshambuliaji wa Jang’ombe Boys,
Juma Hafidh, akijaribu kumtoka beki wa Gor Mahia,Kagere Medie, wakati wa
mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo uliomalizika
hivi punde, Gor Mahia wameshinda mabao 2-0 yaliyofungwa na Medie Kagere
katika dakika ya 63 na 84.

Kiungo wa Jang’ombe Boys, Abdi
Kassim, akimiliki mpira mbele ya beki wa Gor Mahia, wakati wa mchezo wa
mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam.

Kipa wa Gor Mahia, Shakava
Haron, akiruka kudaka mpira wa hatari langoni kwake, wakati wa mchezo wa
mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam.
Haron, akiruka kudaka mpira wa hatari langoni kwake, wakati wa mchezo wa
mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam.
Mchezaji wa Jang’ombe Boys,
Abdallah Rashid, akimtoka Wafula Innocent, wakati wa mchezo wa
mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam. Picha Na Ismail Mang'ola.

No comments:
Post a Comment